Skip to content
Hadith TranslationsHadith translations · ترجمة الأحاديث
Hadith · 66521 · KiswahiliSource ↗

Hakika Mwenyezi Mungu amefaradhisha (kutenda) wema katika kila kitu - Hadith Translation

Imepokewa kutoka kwa Abuu Ya'la Shaddad bin Ausi -radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Kutoka kwa Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- alisema: "Hakika Mwenyezi Mungu amefaradhisha (kutenda) wema katika kila kitu, hivyo mtakapoua basi uweni vizuri (kwa wema), na mtakapochinja basi chinjeni vizuri, na anowe mmoja wenu kisu chake, na akistareheshe kichinjwa chake".
Narrated by
Imepokelewa Imamu Muslim
Grade
Sahihi

إن الله كتب الإحسان على كل شيء

عَنْ أَبِي يَعْلَى شَدَّادِ بْنِ أَوْسٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ عَنْ رَسُولِ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: «إِنَّ اللهَ كَتَبَ الْإِحْسَانَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ، فَإِذَا قَتَلْتُمْ فَأَحْسِنُوا القِتْلَةَ، وَإِذَا ذَبَحْتُمْ فَأَحْسِنُوا الذِّبْحَةَ، وَلْيُحِدَّ أَحَدُكُمْ شَفْرَتَهُ، وَلْيُرِحْ ذَبِيحَتَهُ».

رواه مسلم · صحيح

النص العربي والتخريج وجميع الترجمات

Other languages